所属专辑:Niache
歌手: Diamond Platnumz
时长: 03:59
Niache - Diamond Platnumz[00:00:00]
Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack[00:00:01]
Hhhhmm[00:00:21]
Eti nikuombee mema[00:00:22]
Na baraka uzidi fanikiwa[00:00:24]
Siwezi kamwe wala hhhhmm[00:00:28]
Ni sawa na kuiforce sinema[00:00:32]
Kuitazama na haijanivutia[00:00:35]
Lazima tu ntalala oooh[00:00:38]
Na kwa barabara ukipita[00:00:43]
Nenda kulia ukiniona kushoto[00:00:46]
Sitaki hata tuonane hhhhmm[00:00:49]
Usije wala ukaniita[00:00:54]
Donda vilia utanchochea tu moto[00:00:56]
Nisije nkutukane hhhhmm[00:00:59]
Kinachoniumiza nafsi[00:01:05]
Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa[00:01:06]
Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha[00:01:10]
Mwenzangu nje unayatoa[00:01:13]
Wewe cement mimi mchanga[00:01:15]
Nkasema penzi tujenge lisije loa[00:01:18]
Najitia mkandarasi naezeka mabati[00:01:21]
Wewe chini kenchi unabomoa[00:01:23]
Niache[00:01:25]
Niache[00:01:28]
Niaache oh niache[00:01:31]
Niache[00:01:33]
Nipambane na moyo wangu[00:01:34]
Niache niiaaa[00:01:36]
Niache moyo wangu una hasira[00:01:38]
Niaache oh niache[00:01:41]
Niache[00:01:44]
Oooh oh[00:01:45]
Najitahidi nisilale kwenye kitanda[00:01:58]
Huenda ntapunguza ndoto zako[00:02:03]
Hhhhmm[00:02:07]
Mwilini nina machale utadhani mwanga[00:02:08]
Yote kuusahau uwepo wako[00:02:13]
Hhhhmm[00:02:18]
Laiti kama ningekuwa gari[00:02:19]
Ningekugonga barabarani[00:02:22]
Ama nyuki mtoa asali[00:02:25]
Nkung'ate sura wasiitamani[00:02:27]
Hivi wewe ungo ulivunja mwali[00:02:29]
Ama ulivunja sahani[00:02:32]
Kuniundia mateam kwa mitandao[00:02:35]
Vijembe vya kazi gani[00:02:38]
Kinachoniumiza nafsi[00:02:41]
Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa[00:02:43]
Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha[00:02:46]
Mwenzangu nje unayatoa[00:02:49]
Wewe cement mimi mchanga[00:02:51]
Nkasema penzi tujenge lisije loa[00:02:54]
Najitia mkandarasi naezeka mabati[00:02:57]
Wewe chini kenchi unabomoa[00:02:59]
Niache oooh niachee[00:03:01]
Niache mimi moyo wangu una hasira[00:03:04]
Niaache tena ukae mbali[00:03:07]
Niache oooh niachee[00:03:09]
Niache usiwapigie rafiki zangu[00:03:12]
Niache usithubutu hata simu yangu[00:03:15]
Niaache chonde tafadhali[00:03:17]
Niache niiaaa[00:03:20]
Iyoo lizer[00:03:30]
Hhhhmm[00:03:33]
Ntakudanganya kwa tabasamu[00:03:34]
Ntakudangany kwa kucheka[00:03:37]
Ntakudanganya hata kwa salamu[00:03:39]
Ila moyoni nakuchukia[00:03:42]
Nitakudanganya kukufollow[00:03:45]
Nitakudanganya kucomment[00:03:47]
Nitakudangaya kulike picha[00:03:50]
Ila siwezi kukuzimia[00:03:53]
Mxiuuuuu[00:03:55]