所属专辑:A Boy From Tandale (Explicit)
歌手: Diamond Platnumz
时长: 04:18
Kosa Langu - Diamond Platnumz[00:00:00]
Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack[00:00:00]
Ah[00:00:47]
Barua yako uliyotuma kwa ricardo momo nimeisoma[00:00:48]
Ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenchoma[00:00:52]
Eeh[00:00:57]
Nliyo yategemea[00:00:57]
Tofauti na nlicho kiona[00:00:58]
Hata naandika hii barua[00:01:02]
Huku roho yangu inansonona[00:01:04]
Umesema nichane nguo[00:01:06]
Pia funguo umeirudisha sawa[00:01:08]
Simu niziweke kituo na sio chaguo[00:01:11]
Nikome kabisa sawa[00:01:14]
Umesema hata ile picha nzuri nliyo kukumbatia[00:01:15]
Niichane sawa[00:01:18]
Ila kinachoniumiza[00:01:20]
Mbona moja umesahau[00:01:23]
Kosa langu kosa langu[00:01:25]
Hujaniambia[00:01:27]
Na kuniacha peke yangu[00:01:29]
Ukanikimbia[00:01:31]
Ila mbona kosa langu[00:01:34]
Hujaniambia[00:01:36]
Nami nikabiki peke yangu[00:01:38]
Ukanikimbia[00:01:41]
Aah[00:02:02]
Mbona ukanichimbia kaburi[00:02:02]
Ningari bado mzima[00:02:04]
Niife nizikwe vizuri[00:02:07]
Nipotee kabisa kimya[00:02:08]
Licha ya matendo mazuri[00:02:12]
Kwa upendo na heshima[00:02:13]
Moto ukachochea tanuri[00:02:16]
Ukachoma wangu mtimaa[00:02:18]
Natamani hata ningepata nafasi[00:02:20]
Muda wakati kukutazama[00:02:22]
Unione hata japo sura[00:02:25]
Unitazame macho yangu[00:02:27]
Mwenzako wimbi limenipiga kasi[00:02:29]
Langu jahazi limezama[00:02:32]
Mnyonge mwana sanura[00:02:34]
Wee ndio ulikuwa furaha yangu[00:02:37]
Tatizo hata nkilia wa kunifuta machozi sina[00:02:41]
Sawa na gari lisio na gear[00:02:45]
La kuiforce ipande mlima[00:02:48]
Ndio maana siishi kulalama[00:02:50]
Japo jibu moja tuu[00:02:52]
Linaloniumiza[00:02:54]
Mwenzio bado sijaelewa[00:02:56]
Kosa langu kosa langu kosa langu[00:02:58]
Hujaniambia hujaniambia[00:03:00]
Na kuniacha peke yangu peke yangu[00:03:02]
Ukanikimbia ukaenda[00:03:05]
Ila mbona kosa langu kosa langu[00:03:07]
Hujaniambia hujaniambia bado[00:03:09]
Nami nikabi peke yangu peke yangu[00:03:11]
Ukanikimbia ukaenda ooh[00:03:14]
Oh moyo[00:03:36]
Moyo wangu umevunjika una magongo[00:03:38]
Oh moyo[00:03:41]
Kila sehemu nayoshika kinyamazongo[00:03:42]
Oh moyo[00:03:45]
Hata chozi likifutika linabaki tongo[00:03:47]
Oh moyo[00:03:50]
Najitahidi kulidhika ila nna kinyongo[00:03:51]
Oh moyo[00:04:04]
Moyo wangu umevunjika unaa jamani[00:04:06]
Oh moyo[00:04:09]
Hhhhmm hmm[00:04:11]