所属专辑:Afrobeat Summer 2016: Essential, Vol. 1
时长: 03:50
Zigo Remix - A.Y/Diamond Platnumz[00:00:00]
Written by:Ambwene Allen Yessayah[00:00:02]
Picha linaanza nishadata[00:00:19]
Picha linaanza nishawaka[00:00:21]
Picha linaanza nishachanganyikiwa[00:00:24]
Picha linaanza nishadaata[00:00:26]
Ooh na na[00:00:27]
Kweli mie[00:00:30]
Amenikamata[00:00:31]
Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia[00:00:33]
Nami sitamuacha[00:00:36]
Kwa nyuma ananipa mineso[00:00:37]
Moyoni ananipa mateso[00:00:40]
Wa kishua ila mateendo ya ghetto[00:00:42]
Mtamu na hapendi vya dezo[00:00:44]
Nakulaa kwa macho[00:00:47]
5 star gurl si mchezo[00:00:49]
Ebu ooona[00:00:52]
Ebu ooonaaa[00:00:54]
Kweli mie[00:00:58]
Amenikamata[00:00:59]
Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia[00:01:01]
Nami sitamuacha[00:01:04]
Simbaa ah ah[00:01:05]
Na rangi flani ya kimanga[00:01:06]
Lugha lafudhi ya kitanga[00:01:08]
Usione akapita na khanga[00:01:10]
Nyuma figisu majanga[00:01:13]
Ana mwendo wa kungonya[00:01:15]
Tena alivyoshona[00:01:16]
Umbo kama katuini wa kuchora[00:01:17]
Ah singida dodoma[00:01:20]
Kitandani sodoma[00:01:21]
Kiuno kama nyuki dondora[00:01:22]
Maneno ya watu sumu yana hila[00:01:23]
Wasije leta urefarii ka mpira[00:01:26]
Chunga katu usije ukan'zira[00:01:28]
Nikashikwa na uchizi yaani utaahira[00:01:31]
Ruuuu[00:01:32]
Mtoto yaani mukidi mukide[00:01:33]
Mpaka ndani shikidi shikide[00:01:36]
Hasa akilick d lick de[00:01:38]
Ye ndo mama chibu d chibu deee[00:01:40]
Yeeeah[00:01:42]
Kweli mie[00:01:44]
Amenikamata[00:01:46]
Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia[00:01:48]
Nami sitamuacha[00:01:50]
Too sexy too sexy ya man[00:01:52]
A y bushee bushee di ya man[00:01:54]
Mungu ameumba hapa yah man[00:01:56]
Natamani nikaseme nae yah man[00:01:59]
Too sexy too sexy ya man[00:02:01]
Bushee bushee di ya man[00:02:03]
Mungu ameumba hapa yah man[00:02:06]
Natamani nikaseme nae yah man[00:02:08]
Naamini amezaliwa ili mimi ni we naaye eh[00:02:11]
Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na mi eh[00:02:15]
Mtoto yaani mukidi mukide[00:02:20]
Mpaka ndani shikidi shikide[00:02:22]
Hasa akilick d lick de[00:02:25]
Ye ndo mama chibu d chibu deee[00:02:27]
Naamini amezaliwa eh ili mimi ni we naaye eh[00:02:29]
Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na mi eh[00:02:34]
Iwe iwe iwe[00:02:39]
Iwe iwe hii ndoto[00:02:41]
Mtamu mpaka utamu umepitiliza[00:02:43]
Akikaa na wengine wana chukiza[00:02:46]
She can lick d yah man[00:02:48]
Ngoja niongeze bidii yah man[00:02:51]
Ukute hili zali langu yah man[00:02:53]
Nikapige masinemaree yah man[00:02:55]
Sheya[00:02:58]
Yessayaaaah[00:03:04]
Nakula kwa macho[00:03:07]
Kwa macho[00:03:10]
Nakula kwa macho[00:03:12]
Kwa macho[00:03:15]
Nakula kwa macho[00:03:16]
Kwa macho[00:03:19]
Kweli mie[00:03:23]
Amenikamata[00:03:24]
Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia[00:03:25]
Nami sitamuacha[00:03:28]