所属专辑:Sikomi
歌手: Diamond Platnumz
时长: 03:53
Sikomi - Diamond Platnumz[00:00:00]
Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack[00:00:01]
Wanasemaga mapenzi safari[00:00:20]
Unavyopita ndo jinsi unajongea[00:00:22]
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea[00:00:25]
Niliposikiaga habari[00:00:30]
Yakisifika nikakesha nangojea[00:00:32]
Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea[00:00:35]
Ile pruuu mpaka macca[00:00:40]
Nikadandiaga bongo movie[00:00:42]
Kumbe mapenzi hayataki haraka[00:00:44]
Ni kama tango natia tu chumyi[00:00:47]
Mwenzenu nikaoza haswa[00:00:50]
Na kujitia kitandani mjuzi[00:00:52]
Eti nataka fukuza paka[00:00:54]
Badala ya mbwa nikafuga mbuzi[00:00:57]
Hhhmmm[00:00:59]
Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki[00:01:00]
Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki[00:01:05]
Moyo ukanambia nasibu sasa mapenzi basi[00:01:10]
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi[00:01:15]
Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi[00:01:20]
Ila nang'ang'ania[00:01:25]
Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine[00:01:26]
Ooh mbona sikomi[00:01:29]
Sikomiii[00:01:32]
Sikomi[00:01:35]
Licha ya mateso haya[00:01:36]
Najiuliza oh sikomiii[00:01:39]
Oh sikomi mbona sikomiii[00:01:41]
Mbona jamani[00:01:44]
Sikomi[00:01:45]
Licha ya mateso haya[00:01:46]
Hhhhmmm[00:01:50]
Aliyonifanyia wa central[00:01:51]
Haki ya mungu siyawezi sema[00:01:52]
Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema[00:01:55]
Moyo walinipatia mateso[00:02:00]
Siwezi kumeza siwezi tema[00:02:02]
Ndio maana sikushanga ile ghafla[00:02:05]
Toka ccm kwenda chadema[00:02:07]
Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie[00:02:10]
Nikajitia ukamanda yatakwisha[00:02:15]
Wacha nivumilie[00:02:17]
Kila kiza kikitanda[00:02:20]
Ndo visa machozi me nilie[00:02:22]
Penzi yakatia parapanda[00:02:25]
Kuwaita waje washambulie[00:02:27]
Aah[00:02:29]
Acha na penny we darling[00:02:30]
Nilio muhongaga gari aliponambia ana mimba[00:02:33]
Mwisho wa siku akaichomoa chaliiiii[00:02:37]
Mola akanitunuku zari[00:02:40]
Akanzalia dume na mwali[00:02:42]
Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka[00:02:45]
Kwa vyombo vya habari[00:02:48]
Moyo unanambia nasibu sasa mapenzi basi[00:02:50]
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi[00:02:55]
Lizer ananiambia simba mapenzi basi[00:03:00]
Ila nang'ang'ania[00:03:05]
Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine[00:03:07]
Ooh mbona sikomi mboooona[00:03:10]
Sikomiii mbona jamani[00:03:12]
Sikomi[00:03:15]
Licha ya mateso haya[00:03:17]
Eh nishafumania oh sikomiii[00:03:19]
Nikafumaniwa mimi sikomi[00:03:21]
Nishagombana na watu sikomiii[00:03:23]
Licha ya mateso haya[00:03:27]
Licha ya mateso haya[00:03:28]