所属专辑:In Existence (digitally remastered version)
歌手: Beautiful World
时长: 06:07
Love Song (Remastered Version) - Beautiful World (美丽世界)[00:00:00]
Usiku wa leo uwe wangu[00:00:25]
Laza kichwa kwenye mto wangu[00:00:32]
Cheza usiku wa mbalamwezi[00:00:38]
Pomzika[00:00:44]
Mambo yote sawa[00:00:55]
Mambo yote sawa[00:01:01]
Nipende usiku wa leo[00:01:09]
Nikumbatie usiniache[00:01:15]
Ficha vidole nywelenim[00:01:21]
Hakuna matata[00:01:28]
Mambo yote shwari[00:01:45]
Mambo yote shwari[00:01:51]
Ya kesho usijali[00:02:00]
Hakuna ajuaye yajayo[00:02:12]
Tuishi kwa siku hii[00:02:25]
Hisia za milele[00:02:37]
Mambo yote shwari[00:03:18]
Mambo yote shwari[00:03:25]
Usiku wa leo uwe wangu[00:03:33]
Laza kichwa kwenye mto wangu[00:03:39]
Cheza usiku wa mbalamwezi[00:03:45]
Pomzika[00:03:51]
Mambo yote sawa[00:04:02]
Mambo yote sawa[00:04:08]
Nipende usiku wa leo[00:04:16]
Nikumbatie usiniache[00:04:22]
Ficha vidole nywelenim[00:04:29]
Hakuna matata[00:04:35]
Mambo yote shwari[00:04:52]
Mambo yote shwari[00:04:58]
Mambo yote sawa[00:05:05]
Mambo yote shwari[00:05:17]
Mambo yote shwari[00:05:23]