所属专辑:I Miss You
歌手: Diamond Platnumz
时长: 03:58
I Miss You - Diamond Platnumz[00:00:00]
Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack[00:00:02]
Hello hapo vipi sijui unanisikia[00:00:16]
Hello nnamaneno natamani kukwambia[00:00:20]
Hello tafadhari usije nikatia[00:00:24]
Hello ona mpaka nasaau kusalimia[00:00:27]
Habari ghani leo nimekukumbuka sana[00:00:31]
Na mama yangu twakuwazagaa[00:00:35]
Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana[00:00:39]
Na aunty shani wa chimwagaa ah ah[00:00:43]
Kile kidonda changu cha roho bado kinanitia tabu[00:00:47]
Nnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha adhabu[00:00:51]
Tena silali oh nasubiri maajabu[00:00:55]
Maumivu yangu yaje apate dawa[00:00:59]
I miss you nakukumbuka iye iyeh[00:01:03]
I miss you nakukumbuka iye iyeh[00:01:07]
I miss you nakukumbuka iye iyeh[00:01:11]
I miss you nakukumbuka iye iyeh[00:01:15]
Na roho yangu mama bingili bingili[00:01:18]
Ah nikikuwaza bingili bingili[00:01:20]
Nikisinzia bingili bingili bayoyo[00:01:22]
Oh nikilala bingili bingili[00:01:26]
Ih inama inuka uwoh bingili bingili[00:01:28]
Uku sina raha bingili bingili bayoyo[00:01:30]
Ah iyeeeh ah iyeeeh[00:01:38]
Tatizo kwetu sijui nini kosa langu[00:01:50]
Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga[00:01:54]
Nawaza ila siambui ama shida zangu[00:01:58]
Simba nikawa chui mi roho inaniumaga[00:02:02]
Yawezekana ahadi zangu zisizotimia[00:02:06]
Ndio maana haukutaka kusubiria[00:02:10]
Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia[00:02:14]
Chai mchana usiku dona kurumaghia[00:02:17]
Nilitamani sana ila wangu vyangu palinishia[00:02:21]
Ningalikua na uwezo ningekutimizia[00:02:25]
Mingali unafuraha haya maumivu ntayavumilia[00:02:29]
Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh[00:02:33]
Nakumkumbuka iyeeh iyeh[00:02:38]
Nakumkumbuka sana ooh[00:02:41]
I miss you nakukumbuka iye iyeh[00:02:42]
I miss you nakukumbuka iye iyeh[00:02:45]
I miss you nakukumbuka iye iyeh[00:02:49]
Ah na roho yangu mama bingili bingili[00:02:53]
Ah nikikuwaza bingili bingili[00:02:54]
Nikisinzia bingili bingili bayoyo[00:02:56]
Oh nikilala bingili bingili[00:03:00]
Ih inama inuka uwoh bingili bingili[00:03:02]
Uku sina raha bingili bingili bayoyo[00:03:04]
Ata nikila bingili bingili[00:03:08]
Nikikuwaza bingili bingili[00:03:10]
Nikilala heeh bingili bingili bayoyo[00:03:12]
Ooh ona roho yangu mama bingili bingili[00:03:16]
Ah nikikuwaza bingili bingili[00:03:18]
Nikisinzia bingili bingili bayoyo[00:03:20]
Heeeh roho yangu mama bingili bingili[00:03:38]
Heh heh heeh bingili bingili[00:03:42]
Heh heh heeh bingili bingili bayoyo[00:03:44]
Oooh roho yangu mama bingili bingili[00:03:46]
Ih inama inuka uwoh bingili bingili[00:03:50]
Ajabu sina raha bingili bingili bayoyo[00:03:52]
Ah ata nikila[00:03:55]