• 转发
  • 反馈

《SIAMINI》歌词


歌曲: SIAMINI

所属专辑:SAUTI YA DHAHABU

歌手: T.I.D

时长: 04:49

播放 下载lrc歌词 下载纯文本歌词

SIAMINI

SIAMINI - T.I.D[00:00:00]

Lyricist:Unknown[00:00:03]

Composer:Unknown[00:00:06]

Oh siamini[00:00:09]

Kama tuko wote[00:00:12]

Kama tuko wote[00:00:14]

Mimi na wewe[00:00:17]

Oh siamini[00:00:19]

Kama tuko wote[00:00:22]

Kama tuko wote[00:00:25]

Mimi na wewe[00:00:28]

Wajua pendo letu lilipotoka[00:00:31]

Ni mbali sana mpenzi siwezi sema[00:00:36]

Milima na mabonde mengi tumeshuka[00:00:41]

Oh maneno mengi walisema kote bara[00:00:45]

Na visiwani[00:00:51]

Oh oh oh[00:00:52]

Kindani cha moyo wangu[00:00:54]

Oh oh oh[00:00:57]

Sogea karibu yangu[00:00:59]

Oh oh oh[00:01:02]

Maneno ya kweli kwako[00:01:05]

Siamini[00:01:10]

Oh siamini siamini[00:01:12]

Kama tuko wote[00:01:15]

Kama tuko wote oh yeah[00:01:17]

Mimi na wewe wewe wewe[00:01:20]

Oh siamini siamini[00:01:22]

Kama tuko wote oh yeah[00:01:25]

Kama tuko wote wote wote[00:01:27]

Mimi na wewe oh yeah[00:01:30]

Taarifa hii timamu[00:01:33]

Kumbuka la kitimu timu[00:01:36]

Tulishanapowe jangwani[00:01:38]

Na mambo ya baharini[00:01:41]

Sijiwezi hasilani[00:01:44]

Mwenzio kwako taabani[00:01:46]

Oh oh oh[00:01:49]

Kindani cha moyo wangu[00:01:52]

Oh oh oh[00:01:54]

Sogea karibu yangu[00:01:57]

Oh oh oh[00:01:59]

Maneno ya kweli kwako[00:02:02]

Siamini[00:02:07]

Oh siamini oh yeah[00:02:09]

Kama tuko wote[00:02:12]

Kama tuko wote oh no no[00:02:14]

Mimi na wewe wewe[00:02:17]

Oh siamini siamini[00:02:19]

Kama tuko wote oh yeah[00:02:22]

Kama tuko wote[00:02:25]

Mimi na wewe wewe[00:02:28]

Hallo hallo[00:02:30]

Hebu nieleze manake natoka zangu zanzibari[00:02:31]

Nafika darisalama[00:02:34]

Kila kona nasikia siamini[00:02:35]

Kwani nani huyu kijana[00:02:37]

T I D allaa kumbe weye[00:02:39]

Yuwapiwee hallo hallo[00:02:42]

Yuwapi mamake harusi aje hapa tuhangaike naye[00:02:44]

Yuwapiyee[00:02:49]

Yuwapi babake harusi aje hapa tuhangaike naye[00:02:52]

Yuwapiwee[00:02:57]

Yuwapi kakake harusi aje hapa tuhangaike naye[00:03:00]

Aje hapa kwa raha zangu[00:03:05]

Eti aje hapa[00:03:07]

Semi aje hapa[00:03:10]

Sema tena aje hapa oh oh[00:03:12]

Oh siamini oh yeah[00:03:17]

Kama tuko wote wote[00:03:20]

Kama tuko wote oh yeah[00:03:22]

Mimi na wewe wewe[00:03:25]

Oh siamini[00:03:27]

Kama tuko wote wote wote[00:03:30]

Kama tuko wote oh yeah oh[00:03:33]

Mimi na wewe oh[00:03:35]

Oh siamini siamini[00:03:38]

Kama tuko wote oh[00:03:41]

Kama tuko wote wote wote[00:03:43]

Mimi na wewe oh yeah[00:03:46]

Oh siamini oh nah[00:03:48]

Kama tuko wote oh yeah[00:03:51]

Kama tuko wote wote[00:03:54]

Mimi na wewe oh yeah[00:03:56]

您可能还喜欢T.I.D的歌曲: