所属专辑:A Boy From Tandale (Explicit)
时长: 04:05
Baila - Diamond Platnumz[00:00:00]
Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack[00:00:00]
Kama unanipenda sana[00:00:19]
Umarufu weka mbali[00:00:22]
Na ile nyumba ni ya mama[00:00:23]
Hivyo usiwaze madale[00:00:26]
Isiwe kesho madrama[00:00:28]
Pigiwa simu na tale[00:00:31]
Eti insta natukanwa[00:00:33]
Umeshanzisha kware[00:00:36]
Yani moyo wangu[00:00:38]
Mwepesi kupenda na mgumu kusahau[00:00:40]
Moyo wangu[00:00:43]
Nateseka sana nayempenda kinidharau[00:00:44]
Moyo wanguuuu[00:00:48]
Hodari kugawa wakunipa sina[00:00:49]
Moyo wanguu[00:00:53]
Ndo maana nasisitiza usije na weee[00:00:54]
Baila baila baila[00:00:58]
Baila baila baila[00:01:00]
Baila baila baila[00:01:02]
Bailaaa mamaaa[00:01:04]
Baila baila baila[00:01:07]
Baila baila baila[00:01:10]
Baila baila baila[00:01:12]
Bailaaa mamaaa[00:01:14]
Ah muziki vitaaa hawataki niendelee[00:01:27]
Hivyo ukipata nafasi tafadhali niombeee[00:01:32]
Na nyumbani visa ndugu zangu wazoeee[00:01:36]
Itaniumiza nafsi ikifika musiongee[00:01:41]
Na mashemeji kwa ofisi mnapocheka nao[00:01:45]
Tahadhari sana[00:01:48]
Siunajua wanamuziki vitabia vyao[00:01:50]
Wamejawa tamaa[00:01:53]
Na dada zangu mawifi chunga nyendo zao[00:01:55]
Usipelekwe mrama[00:01:58]
Wakikumbia kaniki mara chota nyayo[00:02:00]
Jua mumeo na kwama[00:02:03]
Utamu wa bigijii nikutafuna[00:02:04]
Usimeze rodaaa ongeza tu bidii[00:02:07]
Kunikuna sio kuniroga[00:02:11]
Kunikomba zaidii pika nguna[00:02:14]
Ntaleta mbogaa kunipenda ka hivii[00:02:17]
Kwetu suna shushie na soda[00:02:21]
Yani moyo wangu mwepesi kupenda mgumu kusahau[00:02:23]
Moyo wangu[00:02:29]
Nateseka sana nampenda akinidharau[00:02:30]
Moyo wanguuuu[00:02:33]
Hodari kugawa wakunipa sina[00:02:35]
Moyo wanguu[00:02:38]
Ndo maana nasisitiza usije na wee[00:02:40]
Baila baila baila[00:02:43]
Baila baila baila[00:02:46]
Baila baila baila[00:02:48]
Baila me hoi[00:02:50]
Baila baila baila[00:02:53]
Baila baila baila[00:02:55]
Baila baila baila[00:02:57]
Baila me hoi[00:02:59]
Usiseme love me then u lying[00:03:22]
Usiseme love me then u lying aah[00:03:27]
Usiseme love me then u lying[00:03:32]
Mmmh[00:03:36]
Usiseme love me then u lying aahhh[00:03:37]
Baila baila baila[00:03:41]
Baila baila baila[00:03:43]
Baila baila baila[00:03:45]
Baila mamaaa[00:03:47]
Baila baila baila[00:03:51]
Oooh baila[00:03:52]
Baila baila baila[00:03:53]
Baila baila baila[00:03:55]
Bailaaa mamaaa[00:03:57]