所属专辑:Machozi
歌手: LADY JAYDEE
时长: 04:37
Machozi Ya Furaha - LADY JAYDEE[00:00:00]
Lyricist:Unknown[00:00:04]
Composer:Unknown[00:00:08]
Nakupenda mpenzi wa maisha maisha aaah[00:00:12]
Na mimi moyoni nina furaha tele moyoni[00:00:18]
Kuwa wako mwenzi wa maisha katu hayatoisha[00:00:24]
Toka moyoni mwangu nimekuchagua wee uwe wangu[00:00:29]
Vipingamizi vingi waliweka[00:00:35]
Asante mola tumevuka tu pamoja sasa[00:00:38]
Wenye kusema waache waseme nakupenda wanipenda[00:00:44]
Furaha twaidumisha nitakuwa wako maisha we u wangu kabisa[00:00:50]
Siku yangu imefika imefika aaah na mimi moyoni[00:01:05]
Nina furaha tele moyoni[00:01:13]
Kukupata mwenzi wa maisha[00:01:16]
Nami naahidi nitakupa vyote[00:01:19]
Tangu sasa hata milele[00:01:25]
Siku yangu imefika imefika aaah aah[00:01:28]
Na mimi moyoni nina furaha tele moyoni[00:01:34]
Furaha furaha furaha tele moyoni[00:01:40]
Furaha furaha furaha tele moyoni[00:01:46]
Mmmhhhh[00:01:54]
Uuuhh ulala lala lala lalala oooh[00:02:00]
Uuuuh woh woh woh iiihh iiiiih iiih[00:02:11]
Uuuuuuuh huh[00:02:21]
Ulala lala lalaa aaah uuuh aahh oooh la lala lala[00:02:26]
Natoa machozi ya furaha furaha furaha[00:02:50]
Kwani penzi letu limekwisha ota mizizi[00:02:56]
Umekuwa wangu la azizi[00:03:02]
Nami naamini tutaishi sote tutapita na pande zote[00:03:05]
Nimekuwa wako mahabuba[00:03:13]
Kaeni kando acheni pupa tutapita kote[00:03:16]
Pande zote mahali pote[00:03:22]
Wenye kusema na waseme[00:03:25]
Nakupenda wanipenda[00:03:28]
Umekuwa wangu wa maisha wa maisha aah maisha[00:03:31]
Mmmhhh[00:03:39]
Uuuh uhhh ulala lala lala lala laa[00:03:45]
Ninalo penzi la milele moyoni mwangu[00:03:57]
Ninatoa machozi ya furaha aaah[00:04:08]
Yeeeh nina furaha ninalo penzi la milele[00:04:14]
Uuuh aaaah[00:04:26]
Mhhhhhhhh[00:04:34]