• 转发
  • 反馈

《ZEZE》歌词


歌曲: ZEZE

所属专辑:SAUTI YA DHAHABU

歌手: tid&Jaymo

时长: 04:03

播放 下载lrc歌词 下载纯文本歌词

ZEZE

ZEZE - TID/Jaymo[00:00:00]

Kama wanipenda[00:00:29]

Kaninunlie zeze[00:00:31]

Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza[00:00:34]

Kama wanipenda[00:00:39]

Kaninunlie zeze[00:00:41]

Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza[00:00:44]

Mateso moyoni[00:00:49]

Usiku silali hadithi sitaki nataka zeze[00:00:51]

Penzi lako la thamani mtanashati jamani usiku silali nakupenda zezeee[00:00:58]

Kama wanipenda[00:01:09]

Kaninunulie zeze[00:01:11]

Nikilala kitandani zeze lanibembeleza[00:01:13]

Kama wanipenda[00:01:18]

Kaninunlie zeze[00:01:21]

Nikilala kitandani zeze lanibembeleza[00:01:23]

Machungu sitaki[00:01:28]

Zeze langu silapati[00:01:31]

Mapepe sipendi[00:01:33]

Mapepe sipendi penzi langu[00:01:35]

Burudani niwapo kitandani zeze langu maanani[00:01:39]

Zeze langu maanani[00:01:45]

Kama wanipenda[00:01:48]

Kaninunulie zeze[00:01:50]

Nikilala kitandani zeze lanibembeleza[00:01:53]

Kama wanipenda[00:01:58]

Kaninunlie zeze[00:02:00]

Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza[00:02:03]

Sitakiiii sipati sitakii sipendiii[00:02:09]

Sipendi burudani burudani kitandani oh yeah[00:02:17]

Manani manani manani[00:02:24]

Mpenzi zeze vp sema basi[00:02:28]

Unanikata[00:02:30]

Mpenzi zeze kabala hijawa balaa[00:02:31]

Usinilete maposi njoo kwa mwanasanaa[00:02:33]

Punguza goz goz machizi watakushanga[00:02:36]

Kama unanipenda njoo uniimbie lala bai[00:02:38]

Njoo upige zeze tupati tuwe hai[00:02:41]

Wanga wakisema nadhani usiku watalala[00:02:43]

Zeze anapigiwa mjanja[00:02:46]

Zeze apigiwi fala[00:02:47]

Kama unanipenda kaninunulie si[00:02:48]

Hatari kama uko tayari twende home tujivinjari[00:02:50]

Jmo na TID ndani ya sauti ya[00:02:53]

Dhahabu ni soo ongeza biidi wewe kwangu[00:02:55]

Kama wanipenda[00:02:58]

Kaninunulie zeze[00:03:00]

Nikilala kitandani zeze lanibembeleza[00:03:02]

Kama wanipenda[00:03:07]

Kaninunlie zeze[00:03:10]

Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza[00:03:12]

Kama wanipenda[00:03:17]

Kaninunlie zeze[00:03:19]

Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza[00:03:22]

Kama wanipenda[00:03:27]

Kaninunlie zeze[00:03:29]

Nikilala kitandani zeze la lanibembeleza[00:03:32]

您可能还喜欢tid&Jaymo的歌曲: