时长: 03:25
Nerea - Sauti Sol/Amos and Josh[00:00:00]
Written by:RR[00:00:01]
Nakuomba nerea usitoe mimba yangu we[00:00:09]
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake[00:00:15]
Mlete nitamlea usitoe mimba yangu we[00:00:19]
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake[00:00:25]
Huenda akawa obama atawale amerika[00:00:30]
Huenda akawa lupita oscar nazo akashinda[00:00:34]
Huenda akawa wanyama acheze soka uingereza[00:00:40]
Huenda akawa kenyatta mwanzilishi wa taifa[00:00:44]
Nakuomba nerea usitoe mimba yangu we[00:00:50]
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake[00:00:55]
Mlete aitamlea usitoe mimba yangu we[00:01:00]
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake[00:01:05]
Huenda akawa maathai ayalinde mazingira[00:01:20]
Huenda akawa makeba nyimbo nzuri akatunga[00:01:25]
Huenda akawa nyerere aongoze tanzania[00:01:30]
Huenda akawa mandela mkombozi wa taifa[00:01:35]
Nakuomba nerea usitoe mimba yangu we[00:01:40]
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake[00:01:46]
Mlete aitamlea usitoe mimba yangu we[00:01:50]
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake[00:01:56]
Nakuomba nerea nerea nerea[00:02:21]
Usitoe mimba yangu[00:02:29]
Nerea nerea nerea[00:02:32]
Usitoe mimba uangu[00:02:38]
Huenda akawa kagameatawale[00:02:41]
Jaramogi odingatuungane[00:02:46]
Huenda akawa tom mboya[00:02:51]
Huenda akawa rudisha[00:02:54]
Huenda akawa malaika mungu ametupatia[00:02:56]
Huenda akawa sauti sol[00:03:01]
Huenda akawa amos josh[00:03:06]
Huenda akawa[00:03:11]
Huenda akawa malaika mungu ametupatia[00:03:16]