时长: 05:29
Kuliko Jana - Sauti Sol/Aaron Rimbui[00:00:00]
Written by:RR[00:00:01]
Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu[00:00:24]
Ananipenda leo kuliko jana[00:00:29]
Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki[00:00:35]
Ananipenda leo kuliko jana[00:00:41]
Kuliko jana[00:00:47]
Kuliko jana[00:00:50]
Yesu nipende leo kuliko jana[00:00:53]
Kuliko jana[00:00:59]
Kuliko jana[00:01:02]
Yesu nipende leo kuliko jana[00:01:05]
Nakuomba mungu awasamehe[00:01:11]
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema[00:01:17]
Na maadui wangu nawaombe maisha marefu wazidi kuona ukinibariki[00:01:22]
Ujue binadamu ni waajabu sana[00:01:34]
Walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika[00:01:40]
Ujue binadamu ni waajabu sana[00:01:46]
Walimsulubisha yesu messiah bila kusita[00:01:51]
Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu[00:01:57]
Ananipenda leo kuliko jana[00:02:03]
Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki[00:02:09]
Ananipenda leo kuliko jana[00:02:15]
Kuliko jana[00:02:21]
Kuliko jana[00:02:24]
Yesu nipende leo kuliko jana[00:02:27]
Kuliko jana[00:02:32]
Kuliko jana[00:02:35]
Yesu nipende leo kuliko jana[00:02:38]
Wewe ndio nategemea kufa kupona baba nakutegemea[00:02:44]
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea oooh oooh yeah[00:02:50]
Wewe ndio nategemea amen kufa kupona baba nakutegemea oh oh[00:02:56]
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea wewe ndio nategemea[00:03:02]
Wewe ndio nategemea kufa kupona ndio nategemea eh bwana[00:03:08]
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea eh maisha yangu yote[00:03:13]
Wewe ndio nategemea kwa nguvu zangu zote kufa kupona baba nakutegemea nakutegemea[00:03:20]
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea oooooooh[00:03:25]
Bwana ni mwokozi wangu tena ni mkombozi wangu[00:03:31]
Ananipenda leo kuliko jana[00:03:37]
Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki[00:03:42]
Ananipenda leo kuliko jana[00:03:48]
Kuliko jana[00:03:54]
Kuliko jana[00:03:57]
Yesu nipende leo kuliko jana[00:04:01]
Kuliko jana[00:04:08]
Kuliko jana[00:04:10]
Yesu nipende leo kuliko jana[00:04:12]
Wewe ndio nategemea wewe kufa kupona baba nakutegemea wewe[00:04:18]
Chochote kitanikatsia uh huh kuingia binguni utaniondolea[00:04:24]
Wewe ndio nategemea oooh kufa kupona baba nakutegemea nakutegemea[00:04:30]
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea[00:04:36]
Bwana ni mwokozi wangu tena ni mkombozi wangu[00:04:41]
Ananipenda leo kuliko jana[00:04:47]
Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki[00:04:53]
Ananipenda leo kuliko jana[00:04:59]
Kuliko jana[00:05:05]
Kuliko jana[00:05:07]
Nipende leo kuliko jana[00:05:11]