所属专辑:Hapa Nilipo
歌手: Upendo Nkone
时长: 05:59
Usifurahi Juu Yangu - Upendo Nkone[00:00:00]
Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu[00:00:25]
Niangukapo mimi nitasimama tena[00:00:31]
Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu[00:00:38]
Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie[00:00:44]
Eh[00:00:49]
Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu[00:00:50]
Niangukapo mimi nitasimama tena[00:00:57]
Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu[00:01:03]
Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie[00:01:09]
Eh[00:01:14]
Si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo[00:01:41]
Shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako[00:01:47]
Kumbuka kwa maobi yako nitasimama tena[00:01:54]
Na utapata baraka kutoka kwake mungu[00:01:59]
Si vyema kunisema sema vibaya nipatapo tatizo[00:02:06]
Mapaa[00:02:11]
Shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako[00:02:12]
Kumbuka kwa maobi yako nitasimama tena[00:02:19]
Na utapata baraka kutoka kwake mungu[00:02:25]
Maana heri mtu yule ambaye kinywa chake[00:02:57]
Ni kuwabariki wenzake na kiwaombea[00:03:03]
Maana maneno mabaya huchafua moyo[00:03:09]
Ukiwekwa mbali na mungu ni vyema uwe safi[00:03:15]
Ukiona niko kwenye shida niombee[00:03:22]
Ndoa yangu imevunjika wewe niombee[00:03:28]
Nikifukuzwa kazini ndugu niombee[00:03:34]
Magonjwa yananiandamaa niombee[00:03:41]
Biashara haina faida niombee[00:03:47]
Nikikawia kupata mtoto niombee[00:03:53]
Nimekuwa mtoto yatima niombee[00:04:00]
Ata nijapo kuwa mjane niombee[00:04:06]
Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena[00:04:12]
Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa[00:04:18]
Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena[00:04:25]
Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa[00:04:31]
Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena[00:05:03]
Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa[00:05:09]
Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena[00:05:15]
Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa[00:05:22]