歌手: Upendo Nkone
时长: 08:10
Uniongoze Yesu - Upendo Nkone[00:00:00]
Uniongoze bado nakuhitaji[00:00:06]
Uniongoze yesu kiongozi mwema[00:00:13]
Moyo wangu nakuhitaji niongoze[00:00:21]
Nivuke salama Mungu wangu uniongoze[00:00:26]
Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie[00:00:35]
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu[00:00:49]
Mungu wangu uniongoze[00:00:56]
Dunia hii ina mabo mengi sana baba[00:01:11]
Sasa dhambi imetawala dunia[00:01:18]
Waliookoka wengine wanarudi nyuma[00:01:25]
Me napenda nikupendeze Mungu upendezwe nami[00:01:32]
Niyashike maagizo yako unifurahie[00:01:39]
Neno lako Yesu likae ndani yangu[00:01:46]
Uniongoze bado nakuhitaji[00:01:52]
Uniongoze yesu kiongozi mwema[00:01:59]
Moyo wangu nakuhitaji niongoze[00:02:07]
Nivuke salama Mungu wangu uniongoze[00:02:12]
Ulisema ulidema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie[00:02:19]
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu[00:02:35]
Mungu wangu uniongoze[00:02:42]
Kuna wengine wachanganya Mungu na dunia[00:03:04]
Na wengine wanalibadili neno lako[00:03:11]
Yesu ukisema na wao pia wanasema[00:03:17]
Me nataka nikusikie Yesu ukisema nami[00:03:25]
Maana wewe ndio wa thamani maishani mwangu[00:03:32]
Nguvu zako yesu zikae ndani yangu[00:03:39]
Uniongoze bado nakuhitaji[00:03:45]
Uniongoze yesu kiongozi mwema[00:03:52]
Moyo wangu nakuhitaji niongoze[00:04:00]
Nivuke salama Mungu wangu uniongoze[00:04:05]
Ulisema ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie[00:04:13]
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu[00:04:28]
Mungu mungu wangu uniongoze[00:04:35]
Ni kweli bwana nimekutana na vita kali vita kali[00:04:49]
Lakini yesu umepigana badala yangu badala yangu[00:04:56]
Wewe umekuwa ni mwamba wa wokovu wangu[00:05:03]
Mbele yangu sijui kuna nini unipiganie[00:05:11]
Usipokuwa nami sitaweza kitu unishikilie[00:05:17]
Natamani sana nione uso wako Jemedari wangu[00:05:25]
Uniongoze bado nakuhitaji[00:05:31]
Uniongoze yesu kiongozi mwema kiongozi mwema[00:05:38]
Moyo wangu nakuhitaji niongoze[00:05:46]
Nivuke salama Mungu wangu uniongoze[00:05:51]
Ulisema ulisema ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie[00:05:58]
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu[00:06:14]
Mungu wangu mungu wangu uniongoze[00:06:21]
Ulisema naposhindwa[00:06:55]
Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie[00:06:57]
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu[00:07:10]
Mungu wangu uniongoze[00:07:18]
Ulisema naposhindwa[00:07:23]
Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie[00:07:25]
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu[00:07:39]
Mungu wangu uniongoze[00:07:46]