所属专辑:Zipo Faida Kukaa Na Mungu
歌手: Upendo Nkone
时长: 08:45
eeeeehh eeehhhh ehhhhe[00:00:19]
zipo faida kukaaa na mungu[00:00:30]
zipo faida kumskilza roho[00:00:38]
zipo faida ukiomba na kusubiri[00:00:45]
usivunjike moyo zipo faida[00:00:53]
zipo faida kukaa na mungu[00:01:00]
zipo faida kumsikiliza roho[00:01:07]
zipo faida ukiomba na kusubiri[00:01:14]
usivunjike moyo zipo faida[00:01:23]
mara nyingi umefungwa ukaahindwa kusubiri[00:01:32]
hata alipochelewa haukuwa na imani[00:01:39]
mara nyingi umefungwa ukaahindwa kusubiri[00:01:46]
hata alipochelewa kukujibu haukuwa na imani[00:01:54]
mungu wetu haaachelewii wala hawaii[00:02:02]
yeye anaweza kujibu kwa wakati wakee[00:02:09]
mungu wetu haachelwii wala hwaaai baba[00:02:17]
yeye anaweza kujibu pale anapotakaa[00:02:24]
endelea kusubiri majibu yako yanakuja[00:02:31]
wewe subiri usikate tamaa oh oh[00:02:39]
zipo faida kukaa na mungu[00:02:45]
zipo faida kumsikiliza roho[00:02:52]
zipo faida ukiomba na kusubiri[00:03:00]
usivunjike moyo zipo faida[00:03:08]
zipo faida kukaa na mungu[00:03:14]
zipo faida kumsikiliza roho[00:03:22]
zipo faida ukiomba na kusubiri[00:03:29]
usivunjike moyo zipo faida[00:03:38]
labda ndugu unaumwa[00:03:44]
unaomba uponyaji[00:03:48]
kazini kukaa matatizo[00:03:52]
wanasema we hufaaii[00:03:56]
umeshindwa kwenda shulee dada[00:03:59]
pesa zimekosekaana[00:04:03]
ndoa yako matatizo amani ndani hakuna[00:04:07]
ye mungu wetu haachelewiii wala hawahiii[00:04:14]
yeye anaweza kujibu kwa wakati wake[00:04:22]
ye mungu wetu haachelewiii wala hawahiii[00:04:27]
yeye anaweza kujibu kwa wakati wake[00:04:37]
endelea kusubiri majibu yako yanakujaaa[00:04:44]
wewe usubirii usikate tamaa[00:04:51]
zipo faida kukaa na mungu[00:04:58]
zipo faida kumsikiliza roho[00:05:05]
zipo faida ukiomba na kusubiri[00:05:13]
usivunjike moyo zipo faida[00:05:21]
hata mimi nilipoomba nilibidi kusubiri[00:05:28]
tena alipochelewa kunijibuu nilikuwa na imani[00:05:35]
na mimi nilipoomba kunijibuu nlidhi kusubiri[00:05:43]
tena alipochelewa kunijibuu nlidhi kusubiri[00:05:50]
mungu wetu sio kiziwi hata asikusikie[00:05:58]
macho ya upendo yanakutazama[00:06:05]
mungu wetu sio kiziwi hata asikusikie weewe[00:06:12]
tena macho ya upendo yanakutazama endelea[00:06:20]
kusubirii majibu yako yanakujaa[00:06:28]
wewe usubirii usikate tamaa[00:06:35]
zipo faida kukaa na mungu[00:06:41]
zipo faida kumsikiliza roho[00:06:49]
zipo faida ukiomba na kusubiri[00:06:56]
usivunjike moyo zipo faida[00:07:04]
weeeee subiriiii[00:07:12]
weeeee subiriiii[00:07:15]
weeeee subiriiii[00:07:19]
weeeee subiriiii[00:07:23]
weeeee subiriiii[00:07:27]
weeeee subiriiiii[00:07:30]
weeeee subiriiiii[00:07:34]
weeeee subiriiiii[00:07:38]
zipo faida kukaa na mungu[00:07:40]
zipo faida kumsikiliza roho[00:07:48]
zipo faida ukiomba na kusubiri[00:07:55]
usivunjike moyo zipo faida[00:08:03]